#jamani photos & videos

16 hours ago

Team love #Jamani cyo kwa kunoga uko👌💕

10
Yesterday

#Jamani kwani hii #balakoa au kofia embu tufollow @officia_ashiri @official_ashiri @official_ashiri

100
3 days ago

#Jumaa_kareem #Jamani mkuje uku kuna mbuzi wasupu

70
3 days ago

#jamani samahanini sana nlikua mbali kidogo ila nimerudy tenaa

40
5 days ago

#Jamani Viherehere havitakiwa Kabisa #

454
1 weeks ago

#jamani help

130
2 weeks ago

#Jamani sio kila jino ni la kung'oa ❌HAPANA Muulize daktari wako uwezekano wa kukufanyia matibabu haya ya #MZIZI WA JINO (Root Canal ) #Iko hivi.. mishipa ndani ya jino inatolewa ili kuondoa network maana inakua imeshaadhiriwa na bacteria baada ya kufika kwenye kiini baada ya jino kutoboka. #Baada ya hapo utapata dawa (antibiotics ) then matibabu hayo yanachukua wiki 2 au 3 hata 4 inategemea na jino , hapo unahudhuria clinic kila wiki x1 , #Meno yote yanafaa kufanyiwa matibabu haya #ISPOKUA GEGO LA 3 MWISHONI juu & chini, pia watoto❌ hawafanyiwi haya hasa meno ya utotoni pamoja na umri angalau chini ya miaka 15 (Tuwasimamie waswaki vzr na kama jino limeoza apelekwe hospital mapema jino lisafishwe na kuzibwa ) 📱Whatsap 0717300704 / Calls 0767300704 , 0658990452

437
2 weeks ago

#Wajua kwamba moja kati chanzo cha #Harufu #mbaya kinywani ni kutwama kwa #masalia ya vyakula katika meno #yaliotoboka !🙊 #wengi wanasema #nina jino limetoka lakin #Haliumi ndomana hana muda wa kwenda kutafuta tiba , ngoja lianze kuuma 🤣🤣saa 12 tayari kwenye foleni ya #KUNG 'OA 😲😲 #Jamani ... Kama una jino limetoboka kapate matibabu mapema jino lizibwe kabla bacteria hawajafika kwenye kiini na maumivu kuanza ( #nenda hospital iliyopo karibu nawe ) 📱Whtsap 0717300704, Calls 0767300704, 0658990452

11534
2 weeks ago

#jamani #ndgu tusemeni tu ukweli hii jezi mpya ya YANGA Imetisha sana # yaan Ni jezi bora Sana kuwah kutokea Barani Africa...au mnasemaje wananch ebu dondosha comment yko ...

40
2 weeks ago

#Jamani on Check 👍

50
2 weeks ago

#Jamani embu tumfollow uyu dereva mbwembwe zimezid @official_ashiri @official_ashiri @official_ashiri

140
2 weeks ago

Me being a comedian 😂😂😂😂🤭🤭😜😜 #jamani #comedian #lol #assamdiaries

3720
2 weeks ago

#Jamani adi wasanii wakubwa nawo wanacop duuub FOLLOW @official_ashiri @official_ashiri @official_ashiri

151
2 weeks ago

#Jamani kwani utamu auna mwwnyewe FOLLOW @official_ashiri @official_ashiri @official_ashiri

130
2 weeks ago

Thickums✨ 2 #thickums #thiccums #jamani #morado 💜 #kinnisohni

8924
2 weeks ago

Thickums ✨ 1 #thickums #thiccums #purple #morado #jamani #sohni

9113
2 weeks ago

#JAMANI """"Kazuli""" Paka:::Basi°°°°°Dahhhhh Follow @kibirizi_dancer_star Twende sawa

534
2 weeks ago

#Jamani uyu #dada azeeki adi namtamani kwa habari zote za #ccm follow @official_ashiri @official_ashiri

100
2 weeks ago

#Jamani ivi unajiskiaje ukiwa #mwanaume arafu unamiliki #mwanamke mzuri unajiskiaje km umempenda #dada fau follow @official_ashiri @official_ashiri Utampata @official_ashiri @official_ashiri

191
3 weeks ago

❇️ Si nos dicen pandemia, nosotrxs decimos MÚSICA 💜 12/9 ✳️ . ✳️❇️✳️❇️✳️❇️✳️ FESTIVAL BANDON ✳️❇️✳️❇️✳️❇️✳️ O N L I N E - S O L I D A R I O ✳️❇️✳️❇️✳️❇️▶️ESTE SAB 12 DE SEPT - 21 HS (ARG ) ✳️❇️✳️❇️✳️❇️▶️Por Youtube y Facebook Live . . Más de 15 artistas imperdibles en streaming, Sideshows lives, nuevas propuestas y sorpresas 💌 Podrás colaborar en la Gorra Virtual para apoyar a lxs artistas y su música. Mediante Mercado Pago y CBU el mismo día del evento ♥️ . . . #musica #festivalonline #festivalbandononline #pandemia2020 #festivalvirtual #musicaargentina #musicaencuarentena

162
3 weeks ago

Heey people!!Here with a new love song #jamani by my girls n I..link in bio..Please like, subscribe to our channel and leave your comments too!!Lets share the 💕 💕

5810
3 weeks ago

Mashine ya kusaga nyama ya kenwood,inatumia umeme,ni nzur mnoo unaweza tengeneza sausage pia kutumia hii mashine...110,000 tu.. #Jamani Kenwood Brand hii,had wajukuu wataikuta.

30
3 weeks ago

#jamani #kagele wa #kukaaa #benchi et🤔🤔

61
3 weeks ago

Kumbe ndiyo maana Harmonise Aliimba kuwa "Akina dada siku hizi shepu wananunua wee Tafuta pesa hata Usijalii"Sasa nimemuelewa nini alikuwa anamaanisha # #Jamani tujuzane hiki ni kitu gani maana tangu nizaliwe ndo kwanza naliona.

111

Top photos & videos on #jamani

Feb 2020

🤔🤔 Because It Was My Dream To Have Big Big And Heavy Heavy Wife Like @miketyson Daughter 🙏 . #JAMANI KUANZIA LEO VIDEO ZANGU ZITAKUWA KINGEREZA TU😂😂😂🤔😛🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

9.7k562
Jun 2020

Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe #mc mdogo tanzania mwenye uwezo wa kiutu uzima #jamani najituma mno aswaaa

1.2k34
last month

J Amani the name is.

1217
Mar 2015

Hapo vipi TBT

13319
Mar 2020

Nawatakia WAALIMU WOTE weekend njema #jamani ni waalimu tu😂😂 # Wazazi wote mlio lalamika jana kuhusu watoto wenu,njooni hapa tuwapongeze WAALIMU. @gertrudekilulya @jj .momy nawapenda kilasiku❤️❤️❤️

1.4k67
Mar 2020

#Barua Ya Wazi Kwa Wote Mnaonidai #Jamani Niacheni Kidogo Sina Hela Nikipata Mzigo Nitawalipa Mambo Ya Kunipigia Cm Kila Dakika Ni Kunipandisha Presha, Nategemea Mtakausha Sasa Subirini Cm Zangu Zenu Nimeshazichoka, Usipotii Andiko Hili Tumemalizana. #Ni Mimi Wako Mtiifu Jimmy Mafufu

1.2k39